maisha ya kuuza online
Kwa watu wengi wanaoangalia kwa nje, kuuza mtandaoni kunaonekana kama kazi rahisi sana: “Weka picha, subiri wateja, pokea pesa” Lakini ukweli ni kwamba, nyuma ya pazia kuna kazi kubwa inayohitaji…
Read moreLoading
Tunaweza kukusaidia katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuwezesha laini za Uwakala kama vile, Airtel, na Vodacom. Sisis ni wazoefu kwa kipindi cha miaka 5 tumehudumia wateja wengi na wamependwzwa na huduma zetu
Rates Award
Happy Clients
We specialize in helping entrepreneurs and business owners acquire their Vodacom Lipa Namba quickly and professionally. By securing a Lipa Namba, you allow your customers to pay you instantly via M-Pesa, making your transactions safer, faster, and more organized.
Send your requestCommunication is the lifeline of any growing business. We help SMEs access exclusive, low-cost Vodacom Business bundles tailored to keep you connected with your customers and suppliers 24/7.
Request VODA SMEGetting your Taxpayer Identification Number (TIN) is the first step toward building a professional brand. We offer a TIN registration service to help you get your TIN quickly and correctly, ensuring you stay compliant with TRA regulations.
Apply for TINJinsi ya Kukuza Views zako za WhatsApp:
Tengeneza Akaunti: Fungua akaunti kwenye mfumo wetu kwa kutumia barua pepe (email) na namba yako ya simu.
Jisajili/Ingia: Baada ya kutengeneza akaunti, ingia kwenye Dashboard yako binafsi.
Wasilisha Namba: Weka namba yako ya simu na jina la biashara unayotaka ionekane kwa wengine.
Pakua VCF File: Mfumo utazikusanya namba zote za wanachama wengine na kukupa file moja la VCF.
Save Namba kwa Mkupuo: Fungua file hilo kwenye simu yako, na namba zote zitahifadhiwa (saved) moja kwa moja.
Ongeza Views: Kwa kuwa kila mtu kwenye kundi hilo atahifadhi namba yako, utaona ongezeko la watu wanaotazama Status zako papo hapo!
Huduma bora na za kuaminika wakati wote, karibu sana. KWENYE ULIMWENGU WA MAFANIKIO
Watch VideoDIGITAL ONLINE SALES, Our Slogan Says "Biashara bila mipaka, ukiwa popote, Wakati wote" We have eliminated the physical constraints of traditional commerce, allowing you to connect, shop, and trade anywhere and at any time. By leveraging cutting-edge technology, we ensure that your marketplace is always open, globally accessible, and just a click away."
Kwa watu wengi wanaoangalia kwa nje, kuuza mtandaoni kunaonekana kama kazi rahisi sana: “Weka picha, subiri wateja, pokea pesa” Lakini ukweli ni kwamba, nyuma ya pazia kuna kazi kubwa inayohitaji…
Read moreDigital Online Sales | Lipa Namba & Web Development Iringa DIGITAL ONLINE SALES Huduma Wasiliana Nasi Huduma za Lipa Namba na Website Tanzania Tunasaidia biashara yako kukua kupitia teknolojia ya…
Read more📱 Omba Airtel Till Kwa Urahisi! Pata Till ya Airtel Money kwa biashara yako kwa bei nafuu 💰 Bei ya Huduma TZS 5,000/= ✨ Bei nafuu na huduma ya haraka!…
Read more